*WOKOVU UMETOLEWA KWA WOTE LAKINI
JUHUDI YA KUMTAFTA MUNGU NI MTU BINAFSI*
Mwanzo 19
: 17 - Ikawa walipomtoa nje, *mmoja alisema, Jiponye nafsi yako* usitazame
nyuma, wala usisimame katika hilo bonde po pote; ujiponye mlimani, usije
ukapotea.
Kama
umeamua kuokoka amua kama wewe na nafsi yako ukiaza kutazama wa kanisani kwako
wanasemaje watakupoteza maana wengi
makanisani ni wazugaji tu wokovu ni
safari ya wokovu inakuhusu wewe
Ukiangalia wakati Lutu na familia yake walipataneema ya
wokovu kama tulivopata Mimi na wewe
walikuwa wamepata Neema walikuwa *wanne* llakini malaika walipokuwa
wakiwaokoa walisema neno la ajabu saana ambalo mama Lutu hakuelewa
Watu
walikuwa wanne *lakini wao wakasema jiponye nafsi yako*
Walitumia
umoja ili kuonyesha kuwa safari ya wokovu ni juhudi ya mtu binafsi
Na walitambua kuwa yupo mwenyemoyo mgumu
Mwanzo 19:26 Pamoja na tahadhari yote lakini mkewe Lutu aligeuga nyuma akapotea kwa
kugeuka kuwa nguzo ya chuvi
Mungu
anapomuokoa mwadamu anamuokoa kwa kumhurumia na jehanamu ya moto wa milele
ndivo alivowaokoa Lutu na familia yake
Mwazo
19:16 *Akakawiakawia nao wale watu wakamshika mkono na Mkono mkewe na mkono wa
binti zake wawali ,kwa jinsi Bwana alivyowahurumia wakamtoa nje ya mji*
Angalia
maneno hayo jinsi Mungu alivo wapenda Lutu na mkewe
Lakini
mama Lutu wakati akiwa njiani
alipokumbuka mali alizozicha milio ya wanyama wake akageuka nyuma
Ndivo
ilivo katika kanisa la leo watu hawapo tayari kuacha mali zisizo halali mtu
ameokoka lakini anatoa ruswa ya Pesa au zinaa ili apate Kazi
Watu
wanacheza na dhambi kanisani
WOKOVU NI
KUJIKANA
WOKOVU NI
KUKUBARI KUPITA ALIMOPITA YESU
WOKOVU NI
MAPAMBANO
KAMA
UMESHINDWA BAKI PEMBENI MAANA UTAITWA MLOKOLE LAKINI MBINGUNI HUINGII
😪😪😪
Mtumwa
remmy mdesa
No comments:
Post a Comment