"Tazama, mkono wa Bwana haukupungua, hata usiweze kuokoa wala sikio lake
si zito, hata lisiweze kusikia, lakini maovu yenu yamewafarikisha na
ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata
hataki kusikia." Isaya 59:1-2
Huu ni ushahidi kwamba Mungu hutuwazia
mema wakati wote. Anasema yeye hawezi kukosa kusikia, hawezi kutuacha
tuangamie. Lakini anatuonesha tatizo liko kwetu, nalo ni MAOVU YETU!
Tukitubu na kuacha njia mbaya na kumgeukia atatusikia na atatuokoa!
No comments:
Post a Comment