USIOGOPE VITA (Mch. Remmy, PSAG The House of Vision, DSM 09/07/2017)
Ushujaa baada kupambana na kushinda. Ni bahati mbaya, mfumo wa Elimu ulitufanya kufikiria kushindwa na kuona ukosefu au upungufu wa vitu ktk maisha yetu, hivyo kukosa ujasiri na uhodari wa Kupambana.
Kwa bahati mbaya hata kwenye mambo ya ki Kiroho tumeambukizwa mwelekeo huo huo.
Ni maombi yangu kwa Mungu abadili fikiri za kizazi chetu na Kanisa kutoogopga Vita.
Hotuba ya marehemu Baba wa taifa, Mwalimu Nyerere akitangaza vita kati ya nchi yetu na Uganda, baada ya Uvamizi wa Iddi Amina, alisema, namnukuu "Sababu tunayo, Nia tunayo, na Uwezo tunao". Hii ilikuwa ni kauli ya Jemedali Mkuu asiyeogopa Vita.
Wewe na mimi ni Majemedali na tunao Ujasiri wa kupambana na kila adui anayekuja ktk maisha yetu ya kila siku. Upo vitani, na Roho Mtakatifu abakukumbusha kupigana Vita ya Imani. Hii ni kwa sababu changamoto tulizonazo kwenye maisha yetu zinatokana na Shetani.
Katika Waamuzi 3:1-11, tunasoma habari ya kusudio la Mungu kwa Israel KUJIFUNZA VITA.
Ili kuwafundisha vita, Wana wa Israel hambao "hawakujua vita", Mungu aliwawekea mataifa 5 jirani ili wawe MAADUI.
Mpendwa, kuna vitu vinaachwa ktk maisha yako ili kukufundisha VITA. Ili uweze kuomba, kufunga, kusoma neno, ni sharti uingie ktk ugumu ili kukuchochea "kutitiliza" ili UPIGANE na Adui shetani.
Nataka ujue mataifa mengi ulimwenguni yameendelea kutokana na kupigana Vita ya Maadui wa Ndani au Nje (majirani zetu Rwanda na Uganda mfano).
Hivyo ktk suala la vita ya kiroho na ki mwili Mungu anakusudia:
1. Kukufundisha Vita: Jifunze mbinu mbalimbali za kupigana (vita ya ki roho na mwili). Tumia akili na nguvu zako zote. Vita siyo lele mama.
2. Kukujaribu kama Utatii. Askari ujiandaa ukakamavu na medani za vita wakati wa Amani. Unajenga misuli yako na Ukakamavu wa Imani ktk maisha ya Utii kwa maisha ya Maombi, kufunga, na Neno.
Wana Israel walishindwa kujifunza Vita. Badala yake wakajiunga na Adui.
Mungu akuweka ktk ya Watu ili uwasadie (Mt 5:13-14). Tunapoza ukali na kuwa butu tunapoiga mifumo ya maisha ya dhambi ya Jamii iliyotuzunguka (kuozeana). Tunakosa kuwa chachu. Hautakiwi kulalamika kwa kukaa jirani na wachawi, walevi, na wazinzi. Ni ili tuweze kujifunza vita. Tunajifunza mbinu za ki vita za kupambana nao.
Usiache kazi kwasababu kuna watu wanakusema. Usikubali kukatishwa tamaa. Endelea na ulichokusudia kufanya. Waliokudharau watakuona juu.
Musa kuna vitu alichelewa kutambua ktk kufundishwa vita. Mungu alimpeleka kwa Farao ili afanye mazoezi ya kupambana (kiroho, kimwili). Mungu akikupelekwa mbele ya adui zako usiogope kwa amesema "nitaandaa kalamu" mbele yao.
Usikubali kushindwa. Ukisema, Ndoa yangu itavunjika, itavunjika kweli! Lakini ukiamua kupigana, hata hiyo "Nyumba ndogo" itaachia. Pigana vita "Agani na Ardhini", usitumue mbinu mmoja.
Narudia, kamwe usitumie mbinu wala Siraha aina mmoja. Hata Musa alipotumwa kwa Farao hakutumia siraha moja. Ilichukua muda Farao kuwaruhusu waondoke.
Ukisoma kitabu cha Kutoka sura 4, Maongezi ya Mungu na Musa, yanaweza kukusaidia kujiandaa kisaikoligia, na yalimsaidia kutambua yafuatayo:
1. Tambua Fimbo uliyonayo: Musa hakutambua kama hiyo fimbo inaweza kutumika kwa Uweza wa Mungu kama siraha ya ukombozi. Kumbuka Musa alitumia Fimbo hii siku zote kuchunga Kondoo.
Mpendwa, nikukumbushe Mungu anaweza kukutumia hivyo hivyo, usijidharau. Tambua ndani yako ipo karama na uwezo wa ajabu kushinda vita!!
2. Tambua uwezo wako:
Kushinda vita kuna kunataka kutambua uwezo wako. Usisubiri watu wakuambie au kukutia moyo. Endapo hautapa mtu wa kukutia moyo utabakia hivyo.
Ongeza uweka wako, fanyia mazoezi mambo unayoyajua. Tumia muda wako kujifunza kuimba, kupiga vyombo, ujasiriamali. Tafuta maarifa mapya ya kukukwamua kimaisha.
3. Tambua Nyakati (Timing):
Kutambua mapema adui zako, wabaya wako, wanaokuloga, upinzani, nk, ni muhimu sana. Vita huitaji kuwai au kushutukiza ili uweze kupata ushindi wa mapema.
Pia tambuacKuna vitu una uwezo wa kufanya vizuri zaidi ktk umri fulani, vinginevyo utakabiliwa na changamoto kubwa.
4. Tambua kuvaa na kuzitumia siraha za vita:
Bila siraha za kumtishia au kumpigia hauwezi shinda. Biblia imeweka wazi kuwa Nyoka na Nge havitatudhuru (Lk 10:19). Na hivyo unahitaji kutumia Mamlaka ya ki Mungu (Mk 16:17). Wakati mwingine Tumekuwa waoga muno kukemea mapepo.
Somo la kujifunza kwa tabia za ndege anayeitwa Tai:
i. Tai Uruka peke yake juu sana: Kushinda vita yako, usikubali kujiweka au kujishusha chini. Nenda sehemu ya juu
Kwa ndege, Eneo la chini lina hatari nyingi (juu sana kuna usalama na uhakika). Usikubali na watu wasiokuwa na mchango hasi kwako kimaendeleo au kimawazo.
ii. Jicho la Tai Ulenga Maono ya Uhakika:
Jicho la Tai anaporuka juu ulenga maono sahihi na akishuka uyajia hayo maono kwa kasi na nguvu. Kushinda Vita lazima uwe na Maono sawa na Mith 29 ili usije kushindwa vita au adui jukupotezea lengo.
iii. Tai hali Mizoga:
Tai utafuta mawindo yaliyo mapya (fresh). Usipigane kwa Vita kwa ajiri ya vitu dhaifu. Angaukia Vita yenye manufaa kwako au jamii yako.
iv. Tai Ufuraia Mawindo yake:
Tai yupo tayari kukabiliana na changamoto ili mwisho afuraie mawindo yake. Kwente maisha ya Vita, unachosemwa au kugombezewa kikusaidie kuboresha maisha yako na kupata mwelekeo mzuri zaidi.
v. Tai Jike upima Uwezo wa Tai Dume:
Ili uweze kushinda ktk vita, ni vizuri kupima uwezo wa kujitoa wa Marafiki zako, Mchumba, au mdau yeyote unayeshirikiana naye iwe biashara kazi, hata huduma.
vii. Tai Ujiandaa kwa Mafunzo:
Tai kama ndege wenhine ujenga uwezo wa vifaranga kwa kuviachia toka juu ili kuvifundisha kuruka kwa mbawa zao wenyewe.
Unahitaji kuwafundisha/kuwajengea uwezo Watoto wako ( kuwinda, kuruka, kutafuna) kujitegemea. Waondoe kwenye kujiona huru (confort zone).
vii. Tai akikua ujijerui ili kujiuisha:
Tai kama vile Nyoka anavyojivua gamba, akifikia Umri fulani makali ya Mdomo na Kucha zake uisha na Manyoya yake upungua. Utumia nguvu nyingi na Maumivu makali kuondoa mdomo, kucha na manyoya ya zamani.
Kadiri maisha yako ya ki Roho na mwili unaweza kupungua nguvu, kupata maradhi na udhaifu tofauti tofauti. Unaihitaji kujijerui ili kujijenga upya.
Shalom.
Kyaruzi

No comments:
Post a Comment